
Huduma zetu
Tunaweza kusaidia kuboresha maisha yako kwa huduma zetu mbalimbali.
Ushauri wa Lishe
Tunatoa ushauri wa hali ya juu kuhusu lishe bora kwa afya yako.
Huduma za Afya
Huduma zetu za afya zinazingatia mbinu endelevu kwa kuboresha maisha ya wateja wetu.
Huduma za Vipimo
Tunatoa vipimo na matibabu kwa virutubisho maalumu kwa afya bora.


Vipimo vya Afya
Tunatoa huduma za vipimo vya afya kwa kutumia vifaa vya kisasa na wataalamu waliobobea.
Matibabu ya Virutubisho
Huduma za matibabu kwa virutubisho maalumu kwa afya yako.
Usaidizi wa Afya
Tunaweza kusaidia kuboresha afya yako kwa njia bora.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Huduma zenu ni zipi?
Tunatoa huduma za lishe, ushauri wa kiafya, na elimu kuhusu afya endelevu, vipimo na matibabu.
Ninaweza kupata elimu wapi?
Tunaelekeza elimu ya bure kupitia semina, warsha, na rasilimali kwenye tovuti yetu na mitandao yetu ya kijamii.
Je, mna bidhaa gani?
Tunatoa bidhaa za lishe zinazosaidia kulinda, Kutunza, Kusafisha, Kutibu, kujenga mwili imara na akili tulivu kwa ajili ya maisha bora.
Ninapataje ushauri wa kiafya?
Tafadhali wasiliana nasi kupitia tovuti yetu au simu kwa ushauri wa kiafya, vipimo kwa OFA na matibabu.
Je, mna ofa maalum?
Tunatoa ofa maalum na elimu ya bure kwa wateja wetu ili kusaidia katika uchaguzi na matibabu sahihi.
Je, mna mpango wa jamii?
Tunawekeza katika maendeleo ya kijamii kwa kutoa huduma na msaada kwa jamii zetu ili kuboresha maisha yao, kama kurahisha huduma za vipimo vya mwili mzima kwa haraka na ufanisi wa vifaa vya kisasa na wataalamu waliobobea.
Wasiliana Nasi
Tuna furaha kusaidia kuboresha maisha yako.