Huduma za Afya
Tujenge jamii yenye afya bora na elimu.
Lishe Bora
Elimu juu ya maamuzi bora ya chakula.
Huduma zetu za kijamii zinajali wateja.
Tujenge afya endelevu pamoja.
Ushauri wa Kiafya
Elimu ya Bure
Kuhusu Kesho Salama Nutricare
Taasisi ya afya na lishe inayojitolea kuboresha maisha ya watu kupitia huduma bora za lishe na ushauri wa kiafya.
150+
15
Wateja Wetu
Tunaamini
Huduma zetu
Tunakuletea elimu na huduma za afya na lishe kwa maisha bora.
Ushauri wa Kiafya na Matibabu
Tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu afya na lishe kwa ajili ya jamii.
Elimu ya Lishe
Tunaelimisha jamii kuhusu lishe bora na maamuzi sahihi ya chakula.
Huduma zetu zinajali wateja na kuwekeza katika maendeleo ya kijamii.
Huduma kwa Jamii(Vipimo vya Mwili Mzima kwa OFA)
Jiunge na Kesho Salama
Pata elimu na huduma za afya bora.
Huduma bora na elimu ya lishe imenisaidia kuboresha afya yangu na familia yangu.
Amani K.
Kesho Salama Nutricare inatoa suluhisho bora za afya na lishe, ninawapenda sana!
Juma M.